Muungano wa wauguzi nchini watangaza kuanza mgomo tarehe 19 mwezi huu

  • | Citizen TV
    187 views

    Muungano wa wauguzi nchini umetangaza kuanza mgomo tarehe 19 mwezi huu iwapo serikali haitatimiza mkataba wa makubaliano. Viongozi wa muungano huo wanataka wauguzi walioajiriwa kwa kandarasi wapewe ajira ya kudumu pamoja na kuondolewa kwenye sajili ya bima ya afya ya SHA chini ya muungano wa madaktari KMPDU.