Mvinyo wa ndizi unavyosaidia kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa

  • | BBC Swahili
    365 views
    'Nilikuwa sijui chochote kuhusu mvinyo wa ndizi, naupenda' Wakulima wa ndizi huko Karonga, katika mwambao wa kaskazini mwa Ziwa Malawi wanakabiliana na baadhi ya athari mbaya zaidi za mabadiliko ya hali ya hewa. Kuongezeka kwa viwango vya maji kumewalazimu kuhamia nchi kavu na sasa, joto kali linafanya mazao yao ya ndizi kuiva haraka zaidi kuliko ilivyokuwa zamani. Badala ya kutupa ndizi zilizoiva zaidi, sasa wanazigeuza kuwa mvinyo wa ndizi wenye ladha nzuri. #bbcswahili #malawi #mabadilikotabianchi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw