- 20 views
Takriban watu 10 wamefariki katika eneo la pwani huku wengine zaidi ya elfu-5 wakiachwa bila makao kufuatia mvua kubwa ambayo imenyesha kwa siku nne katika eneo la pwani. Shughuli ya uokoaji inaendelea ili kuwatafuta maafisa wawili wa halmashauri ya ukusanyaji ushuru humu nchini ambao gari lao lilisombwa na mafuriko leo asubuhi katika mto Ramisi, kaunti ya Kwale.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Mvua kubwa katika eneo la Pwani imesababisha vifo vya watu 10; zaidi ya 5000 wakiachwa bila makao
- - Duniani Leo ››
- 1 Nov 2024 - For months, Agnes Bulaba, a Congolese refugee in Uganda, has had to get by without the food rations she once depended on. Her children scavenge among local communities for whatever they can find to eat.
- 1 Nov 2024 - Society deems them deviant and disruptive, without considering gender and racial repression that fuels their agitation.
- 1 Nov 2024 - The conviction marks a big win for EACC as it continues its uphill battle over corruption.
- 1 Nov 2024 - This comes hours after the High Court lifted an order blocking his ascension to DP.
- 1 Nov 2024 - Mt Kenya has historically played a decisive role in presidential elections.
- 1 Nov 2024 - By openly clashing with the president’s inner circle and more, Gachagua broke essential rules of political survival.
- 1 Nov 2024 - How procedural blunders cost Gachagua's lifeline
- 1 Nov 2024 - Abductions soil Kenya's image
- 1 Nov 2024 - Irony of low inflation but empty pockets
- 1 Nov 2024 - What awaits Kithure Kindiki