Mvua na upepo mkali vyashuhudiwa Florida Kimbunga Debby kikipiga
Watabiri wa hali ya hewa walitahadharisha Jumatatu kuhusu dhoruba ya kimbunga inayotishia maisha, yenye viwango vya juu vya mvua na mafuriko yenye maangamizi katika eneo la kusini mashariki mwa Marekani wakati Kimbunga Debby kikiathiri pwani ya Ghuba ya Florida.
Kituo cha Taifa cha Kimbunga Marekani¸ NHC, kilisema kimbunga hicho kina kasi endelevu ya upepo wa kiasi cha kilomita 130 kwa saa mapema Jumatatu wakati kimbunga hicho kilipopiga karibu na Steinhatchee, Florida.
Kimbunga hicho kinaweza kuleta ufukweni wimbi kubwa la maji la hadi mita tatu zaidi ya mawimbi ya kawaida katika baadhi ya maeneo. Mawimbi yenye nguvu ni sababu kuu ya vifo kutokana na vimbunga, kulingana na NHC.
Baada ya kuleta athari Florida, kimbunga hicho kinatarajiwa kubakia katika kanda hiyo, kikielekea pole pole upande wa kaskazini na kuleta mvua kubwa Florida, Georgia na South Carolina katika siku zijazo.
Kimbunga Debby
Kimbunga Debby
Kiwango cha mvua cha sentimita 15-30 kinatarajiwa Florida, na sentimita 25- 50 huko Georgia na South Carolina. Magavana wa majimbo hayo matatu tayari wametangaza hali ya tahadhari kusaidia juhudi za misaada kuharakishwa. -VOA
Baadhi ya taarifa katika habari hii zinatokana na mashirika ya habari ya AP na Reuters
#kimbunga #Debby #Ghuba #Florida #mvua #Marekani #voa #voaswahili
22 Apr 2025
- The KeNHA boss noted the new regulations were meant to support the Authority to deliver on its mandate.
22 Apr 2025
- Hanifa is among those who have landed roles at NMG
22 Apr 2025
- The amendment has been the subject of controversy since last year.
22 Apr 2025
- Residents of Mwea constituency in Kirinyaga county have raised concerns over the rise of donkey theft in the region.
22 Apr 2025
- Nominated Senator Gloria Orwoba has criticised the newly sworn-in Gender Cabinet Secretary (CS) Hanna Cheptumo over her suitability for the role.
22 Apr 2025
- Cardinals gathered Tuesday at the Vatican to begin scheduling Pope Francis’ funeral and burial, planning the conclave to elect his successor and making other decisions about running the Catholic Church as world leaders and ordinary faithful grieved the…
22 Apr 2025
- The Vatican published Tuesday a photo and video of Pope Francis in his open coffin, dressed in a red robe with the papal mitre on his head and a rosary in his hand.
22 Apr 2025
- Two people have been shot dead while two other sustain gunshot injuries at Loberer, Baringo County on Monday.
22 Apr 2025
- Health Cabinet Secretary Hon. Aden Duale has issued a strong warning to the Kenya Medical Practitioners and Dentists Council (KMPDC) regarding the licensing of unqualified and non-compliant medical facilities. He stressed that any compliance or…
22 Apr 2025
- The KeNHA boss noted the new regulations were meant to support the Authority to deliver on its mandate.
22 Apr 2025
- Hanifa is among those who have landed roles at NMG
22 Apr 2025
- According to the Daily System Operation and Dispatch Analysis Report, last week, geothermal power plants contributed the highest in the generation mix.
22 Apr 2025
- In its weather outlook for April 22 to 28, the department also warned of isolated heavy rainfall in specific regions.