Mvulana anapigania maisha yake katika hospitali baada ya kudaiwa kumla nyoka wa kijani kibichi

  • | K24 Video
    910 views

    Mvulana mwenye umri wa miaka 15 anapigania maisha yake katika hospitali ya misheni ya Litein kaunti ya Kericho baada ya kudaiwa kumshika na kumla nyoka wa kijani kibichi. Amos kiptoo, mwanafunzi kutoka kijiji cha Chemogoch huko Bomet ya kati, aliripotiwa kumkamata nyoka huyo katika kichaka kilicho karibu na kuanza kumla mbichi, akianza na mkia wake...