Mwaka Mpya 2025 I Viongozi wa kidini wahimiza umoja na amani

  • | KBC Video
    20 views

    Wakenya walifika makanisani jana usiku kuukaribisha mwaka mpya wa 2025 huku wengi wao wakiwa na matumaini si haba. Kupitia maombi ya kujitakasa nafsi pamoja na nyimbo za kuburudisha nyoyo,walitazamia mwaka -2025 wenye mafanikio kuliko yale ya mwaka-2024 ambao kulingana na simulizi zao ulikuwa mwaka ulioshuhudia changamoto za kiuchumi,kisiasa na usalama. Viongozi wa kidini waliunga mkono matamshi yao, wakihimiza mabadiliko humu nchini katika juhudi za kukabili taharuki zilizoshuhudiwa humu nchini mwaka uliopita. Mwanahabari wetu Ben Chumba na maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive