Mwakilishi Wadi ya Burat kaunti ya Isiolo ajeruhiwa kwa kupigwa risasi

  • | Citizen TV
    25 views

    Maafisa wa upelelezi kaunti ya Isiolo wanaendelea na uchunguzi wa kumsaka mshukiwa aliyempiga risasi Mwakilishi wadi wa Wadi ya Burat kaunti ya Isiolo na kumjeruhi vibaya