Mwakilishi Wadi Ya Dela, Wajir; Yussuf Hussein Ahmed Aliyetoweka Arejea

  • | TV 47
    534 views

    Mwakilishi Wadi Ya Dela, Wajir; Yussuf Hussein Ahmed Aliyetoweka Arejea

    Mwakilishi wa wadi ya Dela katika kaunti ya Wajir, Yussuf Hussein Ahmed, ambaye alitoweka miezi sita iliyopita amerejea na kuungana tena na familia yake jumamosi usiku, Yussuf anaripotiwa kuwa katika dhaifu ya kiafya na anaendelea kupokea huduma za matibabu katika hospitali ya Nairobi.

    #TV47Wikendi #TV47WeekendEdition

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __