Mwanablogu 'Kibet Bull Yoko' na nduguye watekwa nyara

  • | Citizen TV
    5,058 views

    Haya yakijiri, mamlaka ya kusimamia utendakazi wa polisi nchini IPOA imeanzisha uchunguzi kuhusiana na ripoti za kutekwa nyara kwa vijana wanne kutoka maeneo ya Uthiru, Ngong na Embu. Mwenyekiti wa IPOA Issack Hassan anasema kuwa maafisa wake tayari wamezungumza na familia kuanzisha uchunguzi. Na kama Gatete Njoroge anavyoarifu, familia nyingine imeripoti kutoweka kwa ndugu wawili eneo la Kikuyu kaunti ya Kiambu