Mwanafunzi apigwa risasi na kuuawa kufuatia mtafaruku wa ardhi eneo la Exsoronzo, Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    1,000 views

    Mwanafuzi mmoja ameuwawa kwa kupigwa risasi kichwani, huku wengine watatu wakijeruhiwa kufuatia mtafaruku wa ardhi katika eneo la Saboti kaunti ya Trans Nzoia. Zogo hili la punde kati ya wanakijiji na maafisa wa shirika la huduma za misitu linahusu ardhi ya ekari 600 katika eneo la exsoronzo, eneo bunge hilo la Saboti.