Mwanafunzi wa miaka 13 apigwa risasi na polisi akiwa darasani

  • | Citizen TV
    4,436 views

    Halmashauri ya utendakazi wa polisi imeanzisha uchunguzi kuhusiana na kisa ambapo mwanafunzi mmoja wa kike alipigwa risasi akiwa darasani katika eneo la Ongata Rongai. Peace Nasimiyu sasa akiendelea kuuguza majeraha ya risasi aliyopigwa mita chache kutoka kituo cha polisi cha Rongai. Ode Francis anaarifu zaidi kuhusu masaibu ya mtoto huyu wa miaka 13