Mwanafunzi wa Multimedia alifariki kwa kunyongwa

  • | Citizen TV
    2,958 views

    Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Multimedia aliyepatikana kwenye tangi la maji akiwa ameuawa Sylvia Kemunto, aliuawa kwa kunyongwa. Ukaguzi wa maiti umebaini haya huku sasa ikifichuka kuwa mshukiwa mkuu Eric Mutinda alichukua simu ya marehemu na kuitoa sadaka katika kanisa moja hapa Nairobi baada ya mauaji yake.