Mwanahabari chipukizi wa KBC Fredrick Parsayo azikwa

  • | KBC Video
    1,236 views

    Familia, marafiki na wafanyakazi wenza wamemuomboleza marehemu mwanahabari chipukizi Fredrick Sayialel Parsayo kama mwanahabari aliyejitolea na ambaye alijitahidi kufichua ukweli kuhusu masuala yanayoathiri jamii. Marehemu Parsayo aliyezikwa nyumbani kwao huko Lolgorian, Kilgoris, katika hafla ya mazishi iliyoghubikwa na majonzi alitajwa kuwa mwanahabari shupavu aliyetetea maslahi ya wengi na kuwa kielelezo kwa wengi katika uwajibikaji wake katika ulingo wa uanahabari. Fred alikumbana na mauti tarehe 21 mwezi Machi katika makazi yake jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive