- 175 viewsMwanajeshi wa Ukraine Andriy Chernytskyi alikuwa na wazo la mradi wa kujenga uwanja wa michezo wa watoto katika mji wake - lakini hakuishi kukamilisha ndoto yake. Hata hivyo Uwanja wa michezo ulifunguliwa hivi karibuni. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Mwanajeshi atimiza ndoto yake ya kujenga uwanja wa michezo Ukraine
- 21 Feb 2025 - Police have arrested another suspect linked to the brutal murder of Mombasa-based taxi driver Victoria Mumbua Muloki, whose body was found dumped in a thicket near Lari, Kiambu County, in September 2024.
- 21 Feb 2025 - Members of Parliament were shocked to learn on Thursday that a private company still runs the e-Citizen platform, a site that houses over 16,000 government services, two years after the State won a court case over its ownership.
- 21 Feb 2025 - President William Ruto has expressed his condolences following the passing of former Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) Chairperson Wafula Chebukati.
- 21 Feb 2025 - Former Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) Chairperson Wafula Chebukati is dead.
- 21 Feb 2025 - Former Chief Justice David Maraga has expressed concerns over the recent threat by the Rural Urban Private Hospitals Association (RUPHA) to suspend Social Health Authority (SHA) healthcare services nationwide due to the government's failure to remit…
- 21 Feb 2025 - There are already reports that schools are closing early for mid-term due to cash crunches caused by delayed funding.
- 21 Feb 2025 - Principal Secretary for Foreign Affairs apologises for using a false CNN video.
- » Foreign Affairs PS Korir Sing'Oei apologises after posting CNN deepfake video, vows to undertake AI training21 Feb 2025 - Foreign Affairs Principal Secretary Korir Sing'Oei has apologised after unknowingly posting an AI-generated deepfake video on his official X account, which falsely depicted CNN journalist Fareed Zakaria discussing Kenya’s role in peace diplomacy in…
- 21 Feb 2025 - The U.S. is refusing to co-sponsor a draft U.N. resolution marking three years since Moscow's invasion of Ukraine that backs Kyiv's territorial integrity and again demands Russia withdraw its troops, three diplomatic sources told Reuters, in a potential…
- 21 Feb 2025 - Maraga expressed concern over reports that the Rural Urban Private Hospitals Association is considering suspending medical services because the government has not reimbursed them