Mwanamke adai kudhulumiwa kimapenzi kwenye basi la Mash Poa

  • | KBC Video
    638 views

    Mwanamke mmoja anatafuta haki baada ya kudaiwa kuwekewa dawa na kudhulumiwa kwenye basi lililokuwa likieleka Mombasa. Delilah Akoth Omondi amesema kuwa alikuwa akisafiri kutoka Nairobi kuelekea Mombasa kwenye basi la kampuni ya Mash Poa anapodaiwa kuwekewa dawa na abiria mwenzake mwanamme na male yake yote kuibwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive