Mwanamke amuua mwingine mjini Kisumu kwa tuhuma za kuwa na mapenzi na mumewe

  • | Citizen TV
    2,370 views

    Maafisa wa polisi mjini kisumu wanamsaka mwanamke mmoja kwa madai ya kumdunga kisu mwenzake na kumuua. Mshukiwa aliyehusika na mauaji anadaiwa kumvamia mwendazake akidai mwanamke huyo alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mumewe. Polisi wanamsaka mshukiwa aliyetoroka baada ya tukio kama anavyotuarifu Franklin Wallah.