Mwanamke anayeishi na usonji afunga ndoa na mwezi asiye na changamoto hiyo

  • | BBC Swahili
    1,544 views
    Ni mwanzo wa safari ya wanandoa Zakayo na Monica, mke ambaye anaishi na usonji kutoka jijini Mwanza. Zakayo na Monica ndio kwanza wametoka kufunga ndoa na wanampango wa kupata watoto. Zakayo anatumai kwamba watoto wao wataweza kumsaidia kumtunza mke wake ambaye ana changamoto ya usonji. Mwandishi wa BBC @elizabethkazibure ameshudia mwanzo wa safari yao mpya katika maisha ya ndoa. 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #tanzania #usonji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw