Mwanamke anusurika baada ya gari kuangukiwa na kreni

  • | BBC Swahili
    2,676 views
    Tazama mwanamke huyu alivyonusurika kifo baada ya kreni kuangaukia gari yake alipokuwa akiendesha barabarani. Mtu mmoja alifariki pamoja na wengine watatu kujeruhiwa katika tukio hilo huko Fort Lauderdale, Florida. #bbcswahili #marekani #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw