Mwanamke ashambuliwa kwenye mazishi Nyamira kwa kukataa kufanya matambiko

  • | KBC Video
    189 views

    Watu watatu wametiwa nguvuni katika eneo la Nyabisimba, kaunti ya Nyamira kwa kumshambulia mwanamke mmoja wakati wa ibada ya mazishi. Washukiwa hao Robert Pokea Sarudi, Bismark Ondiek Sarudi na Lameck Ogindo Osoro walikamatwa jana kwa madai ya kumlazimisha mwanamke huyo kufanya matambiko kinyume na matakwa yake ambako walimshambulia na kumjeruhi. Tukio hilo limelaaniwa na wabunge wa kike ambao wameapa kuhakikisha haki imetekelezwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive