Mwanamke ateketezwa na mpenziwe Kirinyaga

  • | Citizen TV
    275 views

    Mwanamke mmoja katika eneo la Maragua kaunti ya Murang’a anapigania maisha yake baada ya kuteketezwa na jamaa anayedaiwa kuwa mpenziwe.