Mwanamke auawa na mwili wake kutupwa eneo la Embakasi

  • | Citizen TV
    3,672 views

    Maafisa Wa Upelelezi Kituoni Embakasi Hapa Nairobi Wanawasaka Wanaume Wawili Wanaodaiwa Kumhadaa Mwanamke Mmoja Kumdhulumu Kimapenzi Kisha Kumuua…..Na Kama Anavyoarifu Franklin Wallah, Polisi Wanadai Tayari Wamemshika Msichana Mmoja Anayedaiwa Kutumika Kumhadaa Mwendazake Kabla Ya Tukio Hilo…