Mwanamke Bomba | Jacinta Wairimu Njoroge anawalea watoto Nakuru

  • | Citizen TV
    843 views

    Jacinta Wairimu Njoroge mwenye umri wa miaka sabini amekuwa mama wa watoto wengi ambao hawapati huduma za msingi kutoka Kwa familia zao huku familia nyingi zikiathirika na uraibu WA pombe katika vitongoji mbalimbali kaunti ya Nakuru .Kwa Miaka kadhaa, Jacinta pia amekuwa akiwaandalia chukula watoto hao Bila malipo kila siku ya jumamosi huku mayatima wakipata makao ya kudumu katika kituo alichoanzisha.