MWANAMKE BOMBA | Simulizi ya Ann Wambui Gacheke aliyejiuzulu kuwanasua waliodhulumiwa

  • | Citizen TV
    369 views

    Mbali na Changamoto kama vile karo na Kodi ya eneo ambalo analitumia kuwaokoa watoto ambao wamepitia dhuluma za kijinsia, amejizolea umaarufu kwa juhudi zake za kuwa mstari wa mbele kuwanasua watoto wanaopitia hayo kwenye vitongoji vya witemere, majengo na kiawara katika kaunti ya Nyeri. Namzungumzia Ann Wambui Gacheke ambaye alijiuzulu kazi ya benki na kuanzisha kituo cha kuwasaidia watoto wanaopitia changamoto sawia na alizopitia utotoni. Hebu tusikilize simulizi yake katika makala yetu ya mwanamke wiki hii.