Mwanamke Bomba | Tunamuangazia Gavana wa Kwale Fatuma Achani

  • | Citizen TV
    556 views

    Maandalizi yanazidi kunoga katika kaunti ya kwale ili kufanikisha sherehe za mashujaa zitakayofanyika Katika kaunti hiyo jumapili hii. Ni kaunti ambayo imeweka historia Eneo la pwani kwa kumchagua mwanamke wa kwanza kuwa Gavana. Bila Shaka si mwengine ninaemzungumzia Bali ni Gavana Fatuma Achani ambaye hii ndiye anayetupambia makala yetu ya Mwanamke Bomba.