Mwanamke mmoja adaiwa kupigwa risasi na mwanajeshi

  • | Citizen TV
    1,037 views

    Mwanamke mmoja anadaiwa kupigwa risasi na mwanajeshi Mary Triza Obur alifarika akipokea matibabu jamaa zake wanasema uchunguzi unajikokota sana ripoti ya upasuaji wa maiti itatolewa baada ya wiki tatu