Mwanamke mmoja Tharaka auuguza majeraha mabaya baada ya kukatwa mkono na mumewe

  • | Citizen TV
    892 views

    Mwanamume huyo anadaiwa kurejea nyumbani kuchelewa na na kumkuta mkewe hayupo. Alimpata mkewe nyumbani Kwa binti yake na kisha wawili hao kuanza kugombana