Mwanamume afariki baada ya kuanguka kutoka jengo lililokuwa likijengwa Eastleigh

  • | KBC Video
    420 views

    Mwanamume wa umri wa makamo alifariki huku watu wengine wawili wakijeruhiwa vibaya baada ya kuanguka kutoka orofa ya 19 ya jengo linaoendelea kujengwa katika mtaa wa Eastleigh, jijini Nairobi. Aliyeshuhudia kisa hicho alisema marehemu anadaiwa kuteleza kutoka kwenye ngazi za ujenzi. Wakazi walisikitika kwamba matukio kama hayo yanaongezeka katika eneo hilo, na kuitaka serikali kuimarisha usalama wa wafanyikazi wa ujenzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive