Mwanamume amuua mkewe Kitengela kufwatia ugomvi

  • | KBC Video
    272 views

    Familia moja huko Kitengela katika kaunti ya Kajiado inaomboleza kufuatia mauaji ya kikatili ya Mary Mwende wa umri wa miaka 32 kufuatia mzozo wa kinyumbani. Kisa hicho kilitokea katika eneo la Kyangombe ambapo mabishano baina ya Mwende na mumewe yalizua makabiliano yaliyosababisha kifo chake. Kamanda wa polisi katika kaunti ndogo ya Isinya Patrick Manyasi alisema msako umeanzishwa dhidi ya mshukiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive