Mwanamume atoroka na kichwa cha mke wa binamuye

  • | Citizen TV
    6,626 views

    Maafisa wa polisi eneo la Mwingi kaunti ya Kitui wanachunguza na kutanzua kitendawili cha tukio ambapo mwanamume alimkata kichwa mke wa binamuye na kisha kutoroka na kichwa hicho