Mwanamume auawa nje ya kanisa la Chesingoro AIC, Kericho

  • | Citizen TV
    3,052 views

    Wakaazi wa eneo la Kusumek kaunti ya Kericho leo waliamkia tanzia, baada ya mwili wa mwamume mmoja kupatikana ukining'inia kwenye uwanja wa kanisa la Chesingoro AIC.