Mwanamume mmoja ajitoa uhai hospitalini

  • | Citizen TV
    3,411 views

    Mwanamme mmoja aliyekuwa amelazwa katika hospiali kuu ya mkoa wa Pwani katika kaunti ya Mombasa, amejitoa uhai leo mchana kwa njia ya kutatanisha