Mwanamume wa umri wa miaka 41 aaomboleza kifo cha wanawe wawili katika mkasa wa moto Naivasha

  • | K24 Video
    13 views

    Dancun Simiyu mwanamume wa umri wa miaka 41 anaomboleza kifo cha wanawe wawili katika mkasa wa moto uliotokea jumapili wadi ya Olkaria, Naivasha. Immanuel Simiyu na Janet Simiyu , watoto wa umri wa miaka minne na sita sita , waliachwa nyumbani wakati ambapo hitilafu za stima zilisababisha moto. simiyu amesema anahisi kana kwamba amepoteza kila kitu.