Mwanangu mwenye jinsi tata aliniambia ‘ninaweza kujitoa uhai’

  • | BBC Swahili
    1,206 views
    Sofia Yusuph Masiana ni mwanamke mjasiriamali, mama wa watoto watano akiwemo Babi John Musamba ambaye alizaliwa bila vinasaba vya kumtambulisha kama ni mwanaume au mwanamke. Julai 23, 2020 Babi alitangaza kwamba yeye si mwanamke wala si mwanaume Je mama alipokeaje hali hii alipojifungua? malezi yalikuwaje? na hali hii husababishwa na nini? Tazama #bbcswahili #waridiwabbc #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw