Mwanariadha auliwa Eldoret

  • | Citizen TV
    1,723 views

    Mwanariadha Samson Kandie ameaga dunia baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo. Kwa mujibu wa mwanawe, mwanariadha huyu aliyekuwa bingwa wa matharon ya Viena mwaka wa 2004 alipatika kama amefungwa mikono na miguu na akiwa na majeraha mabaya.