Mwanaume aliyejidai kuwa daktari wa mifugo ashtakiwa

  • | Citizen TV
    623 views

    Daktari bandia aliyenaswa na maafisa kutoka bodi ya mifugo nchini jumamosi katika eneo bunge la Chepalungu kaunti ya Bomet jana alifikishwa mahakamani.