Mwanawe Beatrice Elache Elvis azikwa Nalepo, Kajiado

  • | KBC Video
    3,188 views

    Spika wa bunge la taifaMoses Wetang’ula ametoa wito kwa wakenya kuungana ili kujenga nchi. Akizungumza wakati wa mazishi ya Elvis Murakana Namenya, mwanawe mbunge wa Dagoretti kaskazini Beatrice Elachi katika kaunti ya Kajiado, Wetang’ula alitoa wito wa umoja bila kuzingatia miegemeo ya kisiasa na kijamii kwa minajili ya maendeleo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive