Mwandishi wa BBC katika doria na polisi wa Kenya Haiti

  • | BBC Swahili
    84 views
    Ujumbe ulioidhinishwa na Umoja wa Mataifa nchini Haiti ulipaswa kuwa juhudi za mataifa mbalimbali yenye kikosi cha wanajeshi 2,500 kutoka nchi saba tofauti wakiongozwa na polisi wa Kenya. Miezi sita baadaye, ni maafisa wa polisi 400 pekee wa Kenya ambao wametumwa na misheni hiyo inakabiliwa na uhaba wa fedha. #bbcswahili #kenya #haiti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw