Mwathiriwa wa pekee wa Ugonjwa wa Mpox nchini Kenya apata nafuu

  • | KBC Video
    26 views

    Wizara ya afya imethibitisha kwamba mwathiriwa pekee wa ugonjwa wa M-Pox humu nchini amepona. Waziri wa afya Dr. Deborah Barasa pia alisema kuwa wale ambao huenda walitangamana na mgoinjwa huyo walipatikana na kufanyiw auchunguzi huku 29 wakithibitishwa kwamba hawana ugonjwa huo na sampuli 10 zitafanyiwa uchunguzi zaidi. Huku serikali ikiimarisha uchunguzi na kuchukua hatua za haraka mkurugenzi mkuu wa afya Dr. Patrick Amoth alisema kuwa chanjo dhidi ya M-Pox zitawasilishwa nchini hivi karibuni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive