Mwendazake Wafula Chebukati kuzikwa Machi 8

  • | Citizen TV
    1,736 views

    Aliyekuwa amwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Wafula Chebukati atazikwa nyumbani kwake kitale kaunti ya Trans Nzoia tarehe nane mwezi ujao. Kwa mujibu wa familia ya marehemu, Chebukati alifariki baada ya kupata mshtuko wa moyo alipokuwa akipokea matibabu na ripoti ya uchunguzi wa maiti inasubiriwa kubaini haswa kilichosababisha kifo chake. Chebukati alikuwa akiugua saratani ya ubongo tangu arpili mwaka jana.