Mwengi Mutuse asema aliyekuwa Naibu wa Rais RIgathi Gachagua anahusika na utekaji nyara nchini

  • | TV 47
    821 views

    VIONGOZI WA KISIASA WAMERUSHIANA CHECHE ZA MANENO KUHUSU SUALA TATA LA UTEKAJI NYARA WAKATI WA MAANDAMANO NCHINI. MWAKILISHI WA KIKE WA KAUNTI YA KIRINYAGA NJERI MAINA AMESHINIKIZA HAJA YA SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WANAOHUSIKA.HII INAJIRI HUKU MBUNGE WA KIBWEZI MAGHARIBI ALIYEWAILISHA HOJA YA KUMTIMUA ALIYEKUWA NAIBU RAIS RIGATHI GACHAGUA AKISISITIZA KWAMBA GACHAGUA NDIYE ANAHUSIKA NA UTEKAJI NYARA.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __