Mwenyekiti wa bodi ya kuwaajiri wafanyakazi Kitui aonya walaghai

  • | Citizen TV
    133 views

    Mwenyekiti wa Bodi ya kuwaajiri wafanyakazi katika kaunti ya Kitui Florence Makindi ametoa onyo kali Kwa wale wanaochukua hongo kuwalaghai watu kwamba watawapa ajira katika kaunti hiyo. Haya yamejiri wakati bodi hiyo inaendelea na shughuli ya kuajiri wafanyakazi wapya na kupandisha vyeo wafanyakazi waliosalia katika daraja moja Kwa muda mrefu. Makindi amesema kuwa Bodi hiyo iko imara kufanya kazi kwa uwazi na usawa.