Mwili uliofukuliwa Voi unazikwa kule Mwakitau, Taita Taveta

  • | TV 47
    170 views

    Mwili uliofukuliwa Voi unazikwa kule Mwakitau.

    Ibada ya wafu inaongozwa na Mchungaji Elisha.

    Wakaazi wa Mwakitau wamejitokeza kwa wingi kutoa heshima za mwisho.

    Ikumbukwe familia hiyo ilimfukua Edward bila idhini ya Mahakama jana.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __