Mwili wa mtu aliyetumbukia kwenye bomba waopolewa Bamburi

  • | Citizen TV
    354 views

    Mwili wa mtu mmoja kati ya wawili wanaosakwa umeopolewa katika bomba la maji taka huko Bamburi eneo la nyali kaunti ya Mombasa. Mwili wa mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 54 uliopolewa usiku wa kuamkia leo. Maafisa wa kaunti waliokuwa wakiendeleza oparesheni hiyo wamesema kuwa wamelazimika kufunga shughuli hiyo baada ya kuchimba futi Zaidi ya 120 ili kudhibitisha kuwa hakuna mwili uliosalia ndani ya bomba hilo.