Mwili wa mtu aliyetumbukia kwenye bomba waopolewa

  • | Citizen TV
    36 views

    Mwili wa mtu mmoja kati ya wawili wanaosakwa umeopolewa katika bomba la maji taka huko Bamburi eneo la nyali kaunti ya Mombasa