Mwili wa mvulana wa umri wa makamo wapatikana katika hali isiyoeleweka kwenye nyumba Machakos

  • | KBC Video
    36 views

    Mwili wa mvulana wa umri wa makamo ulipatikana katika hali isiyoeleweka kwenye nyumba moja eneo la Miwani kaunti ya MachakosKwa mujibu wa wakazi, mvulana huyo alikuwa buheri wa afya siku moja kabla ya kifo chake. Kifo hicho kimehusishwa na ubugia pombe kupindukia. Naibu wa chifu John Musembi amewataka vijana wajiepushe ulevi wa kupindukia akisema zaidi ya watu wanne wamepatikana wamefariki katika eneo hilo hilo miezi michache iliyopita. Mwili huo umepelekwa makafani huku polisi wakiendelea na uchunguzi kuhusu kifo hicho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive