Mwili wa mwanaboda aliyetoweka na kuuwawa Baringo wapatikana

  • | KBC Video
    85 views

    Polisi huko Kabarnet katika Kaunti ya Baringo wameupata mwili wa mwendesha bodaboda ambaye alikuwa ametoweka tangu siku ya alhamisi iliyopita. Mwili wake ulipatikana baada ya mshukiwa mmoja kukiri kumuua na kuwaongoza maafisa wa polisi hadi mahali ambapo alikuwa ameutupa mwili huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive