Mwili wa mwanafunzi wa Shule ya st Jospeh kiaritha wapatikana siku 7 baadaye

  • | TV 47
    16 views

    Baada ya kutafutwa kwa siku 7 hatimaye mwili wa mwanafunzi collins bundi wa kidato cha pili umepatikana kwenye mto nyamindi katika kaunti ya kirinyaga .Colins na rafiki yake wanasemekana kufika kwenye mto huyo ijumaa wiki jana baada ya kusafiri kilomita 15 kuogelea lakini makali ya mawimbi ya maji ya mto huo yakamzidia na kufa maji . Mwandishi wetu nicholas mbai na kina cha taarifa hiyo __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __