Mwili wa mwanamume mmoja wapatikana ukielea majini Timboni

  • | Citizen TV
    604 views

    Wakazi wa eneo la Ting'a kaunti ndogo ya Manga, Nyamira wanaomboleza baada ya mwili wa mwanamume mmoja wa umri wa 87, kupatikana ukielea majini kwenye timbo moja eneo hilo.