Mwili wa mwanaume wapaitikana kwenye Kisima, Busia

  • | Citizen TV
    1,155 views

    Mwili wa Julius Were ambaye amekua akitafutwa kwa siku kadhaa sasa baada ya kuripotiwa kumuua mkewe ulipatikana eneo hilo alipokuwa akihudumu kama mlinzi. Kwa mujibu wa viongozi wa kanisa hilo, mwili wake uligundulika na mtoto aliyekua ameenda kisimani humo kuchota maji alipokaribishwa na uvundo mkali na nzi. Ripoti za awali zikiashiria kuwa, mwanamume huyu alikuwa na ugomvi wa kinyumbani kwa muda na marehemu mkewe.