Mwili wa Victoria Muloki ulipatikana Mochari ya City

  • | Citizen TV
    2,007 views

    Dereva wa teksi wa kike aliyekuwa ametoweka baada ya kumbeba mteja kutoka kaunti ya Momnbasa amepatikana ameuawa hapa Nairobi. Mwili wa Victoria Mumbua Muloki ulipatikana katika hifadhi ya maiti ya City baada ya kutafutwa tangu Ijumaa iliyopita.